TULIA APITISHWA KUMRITHI NDUGAI

Akiongea na wanahabari, msemaji wa chama cha mapinduzi Shaka Hamdu shaka amesema chama cha mapinduzi kimeptisha Tulia Acksoni kuwa mgombea wa kiti cha uspika wa jamhuri ya muungano wa Tanzania.